The House of Favourite Newspapers

Lulu Diva ajuta kushobokea mastaa

0

LULU DIVA (11)Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO

MWANADADA anayeuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva aliyekuwa mpenzi wa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,  Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amejutia kitendo chake cha kushobokea mastaa, akisema wengi wao ‘hawanaga’ malengo ya kimaisha.

Akizungumza na Za Motomoto News, Lulu Diva alisema aliachana na Nay wa Mitego muda mrefu uliopita kutokana na msanii huyo kukosa malengo naye ya kimaisha ya baadaye na ku mastaa.

“Sasa hivi sitaki tena uhusiano na msanii au mtu maarufu, maana wanasumbua, hawana malengo ya maisha ya mbele, nimempata mwanaume wa kawaida ambaye ana malengo,” alisema Lulu Diva.

Leave A Reply