The House of Favourite Newspapers

Lulu Diva amponda Gigy Money

0

VIDEO queen ambaye pia ni staa wa filamu Bongo, Lulu Abass ‘ Lulu Diva’ amemponda video queen mwenzake, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kuwa anatafuta kiki kupitia mgongo wa Mwanamuziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kutokana na kila kukicha kumnanga kwenye vyombo vya habari.

GIGY (2)Akizungumza na Amani Lulu alisema kuwa, hakuna kitu kinachomkera kama Gigy ‘kumdisi’ Nay mara kwa mara kuwa alimlipa hela ndogo wakati yeye mwenyewe ndiye alijipe-ndekeza kujiingiza kwenye video.

“Nashindwa kumuelewa kabisa huyu Gigy, kila wakati anamuweka Nay kwenye mdomo wake wakati alijipendekeza mwenyewe kwenye kufanya video,” alisema Lulu.

Leave A Reply