The House of Favourite Newspapers

Mabibo Boys Yaipongeza Meridianbet kwa Wanachokifanya Kwenye Jamii

0

TIMU ya Mabibo Boys pamoja na uongozi wake mzima umeipongeza Meridinabet kwa kuwafikia na kuwajali kwa namna moja ma nyingine kwani wameona umuhimu wao na mchango wao katika jamii na kuamua kuwaunga mkono kwa kuwapa jezi na mipira.

Meridianbet wakiongozwa na Afisa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu waliifikia timu hiyo na kuwapa vifaa hivyo huku wakiwataka waongeze juhudi kwenye michezo na kufanikisha malengo yao na hatimaye kusaidia familia zao kwa ujumla.

Walitoa jezi na mipira jezi huku timu hiyo ikionekana kufurahi sana  na  kutokana na ujio mkubwa wa Meridianbet na kuwaomba wasiishie hapa tu bali wawaangalie pia na wtu wengine au taasisi zingine ambazo zina uhitaji katika jamii.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka kwani soka ni ajira ambayo sasa imekua na inazidi kukua kila siku pia inaburudisha jamii. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. 

Baada ya kutoa jezi na mipira Bwana Matina Nkurlu ambaye ndiye alikuwa muongozaji wa msafara huo alisema:

“Meridianbet tunaamini michezo ni Afya na ni Ajira hivyo kuwapa vifaa  vya michezo ndugu zetu wa Mabibo Boys ni katika kuhakikisha vijana hawa wanakua na afya njema lakini pia kupata ajira kupitia michezo, na tunatoa wito kwa makampuni mengine kushiri kikamilifu kuvisaidia hivi vituo vidogo vya michezo ili kuzalisha watu wengi wenye mafanikio kwenye michezo”

Vilevile baada ya kupokea vifaa hivyo michezo katibu wa timu ya Mabibo Boys alisema kuwa anashukuru kwa msaada huo kwani umekuja wakati sahihi kwakua timu yao ilikuwa na uhitaji mkubwa wa vifaa vya michezo na mipira hivyo itakuwa Meridianbet wamewasaidia kutatua changamoto zao kuelekea kwenye mashindano.

Meridianbet imejiwekea utaratibu wa kutoa misaada sehemu mbalimbali hasa michezo na sehemu nyingine, kama taasisi ya michezo ya kubahatisha imekua ni utaratibu unaopaswa kuigwa.

 

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Kampuni zingine ziige mfano kutoka Meridianbet kwa kurudisha kwa jamii kwani kuwaunga mkono vijana hasa katika soka itasaidia sana kuleta chachu ya maendeleo katika sekta ya michezo kwani vijana ndio Taifa la leo.

 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Leave A Reply