The House of Favourite Newspapers

MACHOZI ya Mama Hawa wa ‘Nitarejea’ kwa Ugonjwa wa Mwanaye – Video

MSANII wa Bongo Fleva ambaye alitamba kwa wimbo wa Nitarejea akishirikiana na Diamond Plantinum Hawa anateswa na ugonjwa wa ini ambao unamsababisha kukosa raha na maisha.

 

Hawa anasumbuliwa na ugonjwa wa Ini ambao unasabaisha tumbo kujaa maji na kutolewa maji kila baada ya wiki tatu hospitali kitendo ambacho kinamgharibu mama yake.

 

Mama Hawa ameomba msaada kwa wasanii na watu mbalimbali ambao wanaweza kumsaidia ugonjwa wa mtoto wake kupona kwa haraka.

Comments are closed.