MAGAZETI YA SPOTI XTRA, AMANI YAZIDI KUTIKISA MTAANI
Ni uhondo wa habari na burudani kupitia gazeti lako maridhawa la michezo kwa sasa, ni Spots Xtra Alhamisi lililosheheni habari kedekede za michezo, nyumbani mpaka majuu, likiwa limedadavuriwa vyema na waandishi na wachambuzi mahiri wa habari za Michezo bila kusahau habari za burudani na michezo mingine.
Timu ya masoko na usambazaji ya Global Publishers, jana Alhamisi ilingia tena sokoni kwa ajili ya kufanya promosheni na kugawa nailoni kwa mavenda mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake.
Timu ya masoko ilifanikiwa kupita wilaya ya Kigamboni kwenye mitaa kama Mji Mwema, Kibada One, Shangwe, Kigamboni kwa Pinda, Tuangoma na Mbagala Rangi 3.
Haya ni baadhi ya matukio ya ugawaji wa nailoni kwa Mavenda kama inavyoonyesha kwenye matukio ya picha wakiwa na maafsa masoko wa Global Publishers.
Na Mussa Mgema | Global Publishers
Comments are closed.