The House of Favourite Newspapers

Magufuli, Majaliwa, Kikwete Walivyomuaga RUGE, Karimjee – Video

RAIS John Magufuli leo alikuwa kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam  akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.

TAZAMA VIDEO YA TUKIO

Comments are closed.