The House of Favourite Newspapers

Maimartha amtangazia vita Bonita

0

Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ amemtangazia vita mwanamama maarufu kwa kuwapamba mastaa wa kike Bongo, Bonita kwamba akipita anga zake atamfanya kitu mbaya.

Akichonga na Amani, Mai alisema hivi karibuni Bonita alienda kumvamia ofisini kwake Kinondoni ambapo kwa kuwa anajiheshimu, aliamua kumuacha lakini akija kuingia kwenye anga zake tena, atamfanyia kitu ambacho hatakisahau.

“Kuna biashara tulikuwa tunafanya, tukatoa mamilioni ya pesa kwa mtu ambaye anafahamiana na Bonita ili atuletee mzigo, lakini mpaka leo haujafika na mtu mwenyewe haeleweki, nimekuwa nikimuuliza Bonita lakini hakuna kinachoeleweka, ndipo alipokuja kunivamia na watu wake hapa ofisini kwangu,” alisema Mai.

Leave A Reply