The House of Favourite Newspapers

Maisha ya Ndoa Yamnyoosha Belle

STAA wa Bongo Fleva, Abednego Damian ‘Belle 9’ amefunguka kuwa, baada ya kuoa maisha yamemnyoosha na amekuwa tofauti na alivyokuwa kabla ya ndoa.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Belle alisema: “Kiukweli ndoa imenibadilisha sana kwa sababu maisha niliyokuwa ninaishi kabla ya ndoa ni tofauti kabisa na ya sasa.

“Kwenye ndoa kuna vitu vingi nimejifunza, nimekuwa ni mtu mpya katika maisha yangu mapya, kwa sasa ninaangalia zaidi familia yangu kwa jumla.”

Stori: Neema Adrian, Morogoro

Comments are closed.