The House of Favourite Newspapers

MEYA SITTA AMTEMBELEA BALOZI DKT. SLAA, SWEEDEN

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Benjamin Sitta hivi karibuni alifanya ziara nchini Sweden katika Manispaa ya Strangnas ambayo ni marafiki wa Jiji la Dar es Salaam ambako alijifunza mambo mbalimbali ya uendeshaji wa Manispaa na Majiji.

Mhe. Sitta hivi karibuni akiwa nchini humo alimtembelea Ofisini kwake Barozi wa TANZANIA inchini Sweeden, Barozi Dkt. Wilbrod Slaa.

Comments are closed.