The House of Favourite Newspapers

Makanisa 60, Misikiti 20, Hoteli 10 na Klabu Vyafungwa Lagos kuepuka kelele

0

lagos

Lagos, Nigeria

MAMLAKA ya Jiji la wa Lagos nchini Nigeria umefunga makanisa 60 na misikiti 20 katika ikiwa ni jitihada za kupunguza kelele jijini humo.

Takribani hoteli 10 na klabu za starehe kadhaa nazo zimefungwa

Jiji la Lagos lina karibu watu milioni 10 huku, honi za magari, maombi kutoka misikitini na nyimbo makanisani vikitawala mji huo.

Mwezi Agosti utawala ulifunga maeneo 22 baada ya wenyeji kulalamika kutokana na kele zilzokuwa zikitoka maeneo hayo.

Leave A Reply