The House of Favourite Newspapers

Makonda Achafua Hali Ya Hewa – ”Kuna Ujinga Unaendelea Wa Kumtofautisha Magufuli Na Rais Samia”- Video

0


Katibu wa NEC – Itikadi, na Uenezi Paul Makonda amesema kuwa kuna kasumba ya baadhi ya watu kumtofautisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Hayari Pombe John Magufuli.

Makonda ameendelea kwa kusema kuwa maendeleoa anayoyafanya sasa hivi Rais Samia ndiyo yale yale aliyokuwa akifanya Hayati Magufuli.

Leave A Reply