The House of Favourite Newspapers

Mama Amchoma Moto Mwanae wa Kumzaa, Kisa Kitakushangaza – Video

0

MWANAMKE mmoja aliefahamika kwa jina la Agatha Julius (21), anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha kwa kumchoma moto mwanae wa kumzaa kwa kumchoma moto kwenye makalio mtoto wake huyo mwenye umri wa miaka miwili na miezi Saba kwa kudai ikuwa ana tabia ya kujisaidia hovyo.

 

Leave A Reply