The House of Favourite Newspapers

Mama Atelekeza Mtoto Wake-Video

0

Katika hali isiyo ya kawaida Mwanamke aliyefamika kwa jina la Edina Mwazembe alitokomea kusiko julikana na kumwacha Mtoto Grolia kwa shangazi yake anayeishi katika kata ya Mwaka kati mjini Tunduma Mkoani Songwe.

Kwa Mujibu wa majirani wa Mtoto Grolia wanasema.mwaka 2019 Mwishoni alikuja Edina Mwazembe kwa lengo la kumsalimia shangazi yake akiwa na mtoto Gloria aliyesadikia kuwa Ni Mtoto wake gafla Edina alitokomea kusiko julikana huku akimwacha Mtoto wake mikononi mwa shangazi yake Bi Witness Mkatuka.

Leave A Reply