The House of Favourite Newspapers

Mama Salma Kikwete Ajitosa Ubunge Mchinga

0

MAMA Salma, Mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge Mchinga Mkoa wa Lindi.

 

Mama Salma amechukua fomu hizo leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 kuwania jimbo hilo ambalo lilikuwa likiongozwa na Hamidu Bobali wa Chama Cha Wananchi (CUF).

 

Mama Salma alikuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais John Pombe Magufuli kuanzia tarehe 1 Machi 2017.

Leave A Reply