Mama wa Gift Aliyeuawa kwa Risasi Sinza Asimulia Mazito – Video

MAMA Mlezi wa Kijana Gift ambaye aliuawa na Kijana Alex kwa Risasi amemuelezea mwanae ambapo amesema amemlea toka akiwa na miaka 9 baada ya mama yake mzazi kufariki.

 

Mama huyo ameeleza kutopewa ushirikiano wowote na upande wa Alex ambaye ndio amemuua mtoto wake. Pia, ametoa ratiba ya mazishi ya kijana Gift ambapo amesema kesho Julai 20 ndio atazikwa jijini Dar es salaam.

 


Toa comment