The House of Favourite Newspapers

Mama Wa Mtoto Aliyeuawa Na Dangote Arusha Afunguka – Video

0


Kufuatia kifo cha kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji, uporaji na kuwachoma watu jijini Arusha.

Global Tv imeenda kwenye nyumba ya mzazi ambaye mwanaye alidaiwa kuuawa na Dangote ,Mama huyo anasema anafurahishwa sana na kifo cha Dangote kwani Kijanah uyo aliondoa maisha ya mwanaye wa Kiume aliekuwa mwanachuo katika chuo cha Ushirika Tanga, na mara tu aliporudi likizo Dangote alimchoma kisu cha moyo na kusababisha damu kusambaa nje ya moyo hadi kifo chake.

Mama uyo anatoa wito kwa Serikali kuwatafuta wezi wengine na kuwachukulia hatua wasiweze kufanya matukio kama hayo.

Leave A Reply