The House of Favourite Newspapers

Manara Atambulishwa kwa Mbwembwe Bungeni – Video

0

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mazingizavna Ofisa Habari Haji Manara wa klabu hiyo, wakiwa bungeni jijini Dodoma leo Jumatano Januari 29. Klabu hiyo inatarajia kuzindua tawi nje ya Ukumbi wa Bunge lijulikanalo kama Wekundu wa Mjengoni na kadi za mashabiki Kanda ya Kati.

Leave A Reply