The House of Favourite Newspapers

Manchester United Ya Ten Hag Hoii, Yachezea Kichapo Tena

0

Manchester United imepoteza kwa goli 3-1 dhidi ya Brighton ikiwa ni mchezo wao wa tatu kupoteza kati ya mitano ya PremierLeague iliyocheza msimu huu, matokeo yanayoweza kumpa ‘pressure’ Kocha Erik ten Hag
Baada ya matokeo hayo, takwimu zinaonesha katika michezo mitano iliyopita dhidi ya Brighton, United imefungwa mechi nne na sare moja
Matokeo mengine ya Ligi hiyo Wolves 1-3 Liverpool, West Ham United 1-3 Man City, Tottenham 2-1 Sheffield United, Fulham 1-0 Luton

Leave A Reply