The House of Favourite Newspapers

Maneno 16 Ya Nape Nnauye Asubuhi Hii Baada ya Kuondolewa Kwenye Uwaziri

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewaomba wananchi watulie kufuatia kuondolewa kwake kwenye nafasi hiyo ambayo imechukuliwa na aliyekuwa Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Harrison Mwakyembe.

Aidha Nape ameendelea kusisitiza utulivu kwani anaamini taarifa za kuondolewa kwake katika nafasi hiyo zimewashtua watu wengi.

NAPE AMEANDIKA MANENO HAYA

“Ndugu zangu naomba TUTULIE! LEO mchana nitakutana na wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwa sasa naomba TUTULIE!”, aliandika Nape

 

Comments are closed.