Kartra

Marcelo Azinguana na Zidane, Atolewa Kikosini

MSUGUANO unadaiwa kuwa ni moja ya sababu ya beki wa kushoto Marcelo kuondolewa katika kikosi cha Real Madrid kilichotarajiwa kucheza dhidi ya Granada, jana Alhamisi.

 

Inadaiwa kuwa beki huyo alikwaruzana na kocha wake, Zinedine Zidane kuhusu mbinu anazotaka kocha huyo wakati wa kujilinda, mwisho ikawa ni kuondolewa kikosini Marcelo amekuwa akiichezea Real tangu aliposajiliwa Januari 2007 akitokea Fluminense.


Toa comment