The House of Favourite Newspapers

Mashabiki: Jux, Vanessa jianikeni

0

Stori: Mwandishi wetu

Wanamuziki wanaofanya fresh kwenye game kwa sasa, Vanessa Mdee na Jux wanadaiwa ni wapenzi lakini wenyewe wamekuwa wagumu kufunguka, jambo linalowaacha njia panda mashabiki wao.

Juzikati ilitupiwa mtandaoni picha romantic ya wasanii hao, ikaibua mjadala mkubwa huku wengi wakionekana kuwa na shauku kubwa ya penzi la wawili hao kuwa wazi.

 Mmoja aliandika: “Kimsingi wanaendana na nitafurahi siku moja nikiwasikia wanaitana baby…sweet heart…, wajianike tu.” Mwingine anaposti:” Ni kapo itakayosumbua sana endapo wataamua kuweka mambo hadharani.”

Leave A Reply