The House of Favourite Newspapers

Mashabiki Kagera Sugar Wakamatwa, Benchi la Ufundi Lavunjwa

MASHABIKI wa timu ya Kagera Sugar wakamatwa na jeshi la polisi wakiandamana kumpinga kocha wa timu hiyo,  Meck Maxime.

Timu hiyo ilinusurika kushuka daraja msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (TPL) baada ya kucheza ‘play off’ na timu ya Pamba kutoka jijini Mwanza.

 

 

Comments are closed.