The House of Favourite Newspapers

Mashindano ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu Kufanyika Aprili 13,2024

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 23, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu ambayo inatarajiwa kufanyika Aprili 13,2024 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 23, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu ambayo inatarajiwa kufanyika Aprili 13,24
Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 23, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu ambayo inatarajiwa kufanyika Aprili 13,2024 ambayo ni siku ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania(TET), Dkt. Anneth Komba akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 23, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu ambayo inatarajiwa kufanyika Aprili 13,2024 
Leave A Reply