The House of Favourite Newspapers

Mastaa wajiachia uzinduzi wa Dimpoz

0

Stori: Gabriel Ng’osha
Bata batani! Wikiendi iliyopita mastaa kibao Bongo walijiachia vilivyo kwenye uzinduzi wa ngoma mpya ya Achia Body ya mkali wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ndani ya Ukumbi wa Akemi uliopo kwenye Jengo la Golden Jubilee Tower, Posta jijini Dar.

Baadhi ya mastaa hao ambao baadhi yao mbali na kutumbuiza waligonga bata la uhakika ni pamoja na Christian Bella, Nahreel na Aika (Navy Kenzo), Joh Makini, Madee, Chegge, Vanessa Mdee na wengine kibao.

Leave A Reply