The House of Favourite Newspapers

MAWAZIRI Wawekwa KIKAANGONI na Wabunge – Video

KIKAO cha Tano cha Mkutano wa 15 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimeendelea tena leo Jumatatu, Aprili 8, 2019 ambapo Mawaziri wa wizara mbalimbali walikuwa wakitoa majibu ya Serikali kuhusiana na masuala mbalimbali ya mandeleo yanayotekelezwa na yatakayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Comments are closed.