The House of Favourite Newspapers

Mbowe Alivyokutana Na Kumfariji Mke Wa Membe Na Watoto Wake – Video

0

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefika kuhani msiba wa Benard Membe, mwanasiasa mkongwe aliyefikwa na umauti hapo jana katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.

Mbowe amesema licha tofauti ya kiitikadi aliyokuwa nayo na marehemu, walikuwa marafiki kwa sababu Membe hakuwa kada anayetetea anapoona wapinzani wananyanyaswa.

Leave A Reply