The House of Favourite Newspapers

Mbowe Atinga Mahakamani na Kitabu Hiki – Video

0

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, leo Jumatatu, Septemba 20, 2021 wamefika katika chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, kwa ajili ya kusikiliza shauri dogo la kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili.

 

Leave A Reply