The House of Favourite Newspapers

Mbunge Amtimua Askari

LEO Ijumaa Novemba 8, 2019 bungeni mjini Dodoma mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Sophia Mwakagenda amesema amemuondoa mpangaji wake ambaye ni askari polisi kwa sababu haoni umuhimu wa kushirikiana naye.

 

“Mimi Sophia Mwakagenda sina mtendaji wala sijui kiongozi gani niishipo nitakaefanya nae kazi mpaka muweke mambo yenu sawa, pia leo namtoa kwenye nyumba yangu mpangaji wangu ambaye ni askari polisi akakae huko anakolipwa mshahara, nyumba ni yangu,” amesema Sophia.

Comments are closed.