The House of Favourite Newspapers

Mbunge Avua ‘VIATU’ Bungeni “MAGUFULI Katunyoosha” – VIDEO

Mbunge wa jimbo la Serengeti (CCM) Rioba Chacha, ameipongeza serikali kwa kuendeleza viwanda vya ndani ya nchi ambapo ameamua kuvua kiatu chake na kukinyanyua juu kuonesha mfano wa bidhaa zinazotengenezwa nchini.

Comments are closed.