The House of Favourite Newspapers

Mbunge Kilango: ”Nilimpeleka Polisi Mume Wangu – Alinichoma Pasi ” – Video

0

Mbunge wa Same Mashiriki, Anne Kilango Januari 30, 2024 amelalamikia baadhi ya matukio ya unyanyasaji wa kijinsia hasa dhidi ya wanawake katika uchaguzi, Bungeni Jijini Dodoma.Mbunge wa jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela akichangia Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023 Bungeni jijini Dodoma amedai kuwa muswada huo haujatambua vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kama kosa la uchaguzi, huku akieleza namna alivyoathirika na vitendo hivyo wakati wa uchaguzi mkuu uliopita akiwa jimboni kwake.

Leave A Reply