The House of Favourite Newspapers

Mbunge Shigongo Afichua Royal Tour Ilivyonufaisha Nchi – “Rais Samia Atatufanya Tusikope Baadaye”- Video

0

Mbunge wa Buchosa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), @ericshigongo amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza nguvu katika kuziwezesha sekta kuchangia katika pato la nchi ili kuleta maendeleo.

Shigongo amesema sekta mbalimbali zikifanyiwa uwekezaji mzuri, zitaongeza pato la taifa na kuwezesha wananchi kupata huduma za kijamii zenye ubora mkubwa na kuharakisha maendeleo ya taifa.

Leave A Reply