The House of Favourite Newspapers

Mchakato Mabadiliko Simba Watua FCC – Video

0

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji amefafanua hatua iliyofikia timu mpaka sasa katika swala zima la mabadiliko ya kimfumo ambayo yataifanya kuwa kwenye mfumo wa hisa. Huku Mo akisema mchakato umefikia The Fair Competition Commission (FCC).

 

”Mchakato upo FCC, sisi kama Simba tumemaliza kutoa document zote, tunawaongejea wao watupe muelekeo, tunangojea hilo kwa hiyo halipo mikononi mwetu,” Mo Dewji.

 

Leave A Reply