The House of Favourite Newspapers

Mchezaji Tajiri Zaidi Asaka Timu

0

Mchezaji wa zamani wa timu za vijana za Chelsea na Leicester City, Faiq Balkiah (23) anayejulikana zaidi kama Mwanasoka tajiri kupita wote duniani amekuwa akihangaika kupata Klabu mpya baada ya kutoka kwenye klabu ya Maritimo iliyoko Ureno.

Faiq ambaye ni mtoto wa mdogo wake na Sultan Hasnal Balkiah wa Brunei ni mmiliki wa mali zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 20.

Kiungo huyo ambaye ambaye anachezea pia timu ya taifa ya Brunei sasa amejiunga rasmi na klabu ya Chonburi ya nchini Thailand.

Leave A Reply