The House of Favourite Newspapers

Mchumba wa Ini Edo na muonekano wa kidemu!

0

Mike Godson an Inn edoWAKATI vuguvugu la ujauzito wa mkongwe wa fi lamu Naija, Ini Edo likiendelea kushika kasi, mchumba wake ambaye pia ni staa, Mike Godson amelizima kiana kwa kuachia picha mitandaoni zikimuonesha akiwa katika mavazi ya kike.

Mike Godson (2)Picha hizo zilizozua gumzo zinamuonesha Mike akiwa katika gauni refu jekundu huku kichwani akiwa amevalia nywele bandia, mkononi akiwa na pochi kubwa. Inaelezwa kuwa katika picha hizo Zinazosambaa alikuwa katika maandalizi ya fi lamu yake mpya.

Mike Godson (1)Mike Godson (2)

Leave A Reply