Mchungaji Mwenye Wake 3 Kortini na Wake Zake- Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la The Hill Lord, David Chiliuza ( 33) mwenye wake watatu anayekabiliwa na mashtaka mawili yeye na wake zake wawili tayari amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri kesi inayomkabili.

 

Mchungaji huyo alifikishwa mahakamani hapo wiki iliyopita akikabiliwa na mashtaka mawili; moja likiwa la kuishi nchini bila kibali linalomkabili yeye na wake zake ambapo wake zake walikiri shitaka hilo huku akikana na kukiri shitaka lake la pili la kufanya shughuli za kanisa bila kuwa na kibali cha kuishi nchini.

 


Loading...

Toa comment