The House of Favourite Newspapers

Meli ya MV Royal yawaka moto Bahari ya Hindi

0

meli

Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo.

meli 2

Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa kwenye MV Serengeti.mv royal (1) mv royal (2)

Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea katika injini ya meli hiyo.

Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo. 

Leave A Reply