The House of Favourite Newspapers

Menina Ajifungua Kidume

Menina alipokuwa mjamzito.

MSANII wa Bongo Fleva aliyewahi kushiriki shindano la kusaka vipaji maarufu la Bongo Star Search (BSS), Menina, amejifungua mtoto wa kiume Februari 9 wiki iliyopita na jina la mtoto huyo bado halijafahamika.

Akiwa na baba wa mtoto wake.

Aidha Menina aliyewahi kutamba na wimbo wake wa ‘Dream Tonight’ alitoa taarifa hiyo kupitia mtandao wake wa Instagram ambapo mastaa wenzake wakaendela kwa kumpa pongezi kwa kujifungua salama.

Ujumbe wake wa Instagram

Salum Milongo/GPL

Comments are closed.