Mgogoro wa Zanzibar watinga Ikulu ya Marekani
Wanachama wa ZADIA kutoka majimbo tafauti nchini Marekani wakionyesha mabango yao.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazanzibari Waishio nchni Marekani (ZADIA), Bw. Omar Haji akiongea na moja waandishi wa habari.
Pichani ni bango la waandamanaji wa Zadia.
Mpenda amani na Demokrasia wa (ZADIA) wakipiga picha nje ya Ikulu ya Marekani (White House).
Mpenda amani na Demokrasia wa (ZADIA) wakipiga picha nje ya Ikulu ya Marekani (White House).
Mpenda amani na Demokrasia wa (ZADIA) wakipiga picha nje ya Ikulu ya Marekani (White House).
Itakumbukwa kuwa, wananchi wa Zanzibar walipiga kura mnamo tarehe 25 Oktoba mwaka huu, lakini Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bwana Jecha Salum Jecha akatangaza kufutwa kwa uchaguzi huo Mkuu visiwani humo, kitendo ambacho wataalamu wa Sheria wamesema kuwa kinakwenda kinyume na Katiba ya Zanzibar.
Wachambuzi wanaona kuwa hatua hiyo ya Bwana Jecha ilikuja wakati asilimia kubwa ya matokeo yaliyokuwa yametangazwa yalikuwa yanampa ushindi mgombea wa urais wa Zanzibar kutoka chama cha upinzani cha Wananchi (CUF) Maliim Seif Shariff Hamad.