The House of Favourite Newspapers

Pichaz: Miaka 15 Ya Saida Karoli Escape One, Dar Usiku Huu

0

MUIMBAJI wa nyimbo za asili Bongo, Saida Karoli usiku huu amefanikiwa kukusanya umati wa watanzani waliyokuwa wamemkumbuka kwa muda mrefu tangu alipopote kwenye gemu ya muziki wake.

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

Leave A Reply