The House of Favourite Newspapers

Miaka 20 Jela! Aingia Mzima, Atoka Amekatwa Mguu, Sikio – Video

Jumanne Hassan (55) alikumbwa na mkasa mzito uliosababisha kuhukumiwa kwenda gerezani miaka 20. Kilichompeleka Gerezani KINASIKITISHA! Ndani ya miaka hiyo ameingia mzima lakini ametoka akiwa MLEMAVU.

Kwa sasa yupo huru, lakini ametoka akiwa kakatwa mguu mmoja na sikio kipande. Ni mkasa gani ulimpata??? Fuatilia YouTube channel ya #GlobalTVOnline pekee.

KAMA UNA HABARI AU MKASA KAMA HUU WASILIANA NASI: (+255 657 955825 au +255 784 888982)

Comments are closed.