The House of Favourite Newspapers

#Miaka60YaUhuru: Silaha na Vifaa vya Kivita JWTZ

0

Onesho la silaha na vifaa vita na umahiri wa vikosi vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Samia Suluhu Hassan wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, leo Disemba 9, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Onesho hilo limefanyika ili kuwaonesha Watanzania hatua ambazo JWTZ imepiga katika kujiimarisha kwenye ulinzi wa mipaka tangu mwaka 1961.

 

 

Leave A Reply