The House of Favourite Newspapers

Mirathi Yazua Balaa Dar, Mwananchi Aibua Tuhuma Nzito ”Naomba Nionane Na Waziri Mkuu”…

0

Mohamed Soli, mkazi wa Gerezani, Kariakoo jijini Dar, ameomba nafasi ya kuonana na Waziri Mkuu kuhusiana na sakata lake la kutotendewa haki kwenye usimamizi wa mirathi ambapo kuna watu ambao wapo nje ya usimamizi hao kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu na siyo halali.

Akizungumza na Global Tv online, Mohamed anasema jambo lake amezunguka kila mahali bila kupata haki na utaratibu unaostahili na ndio maana ameomba kuonana na Waziri Mkuu, kwa sababu alishamgusia jambo lake huko nyuma ila kumuona imekuwa ngumu sana.

Leave A Reply