The House of Favourite Newspapers

MISS TANZANIA ALAMBA SHAVU NONO BODI YA UTALII – VIDEO

Miss Tanzania mwaka 2018, Queen Elizabeth, amelamba shavu la kuwa balozi wa Bodi ua Utalii nchini, ambapo atakuwa na majukumu ya kuutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi…

Miss Tanzania Queen, amesaini mkataba wa ubalozi huo mbele ya waandishi wa habari leo Machi 28, ambao atautumikia kwa muda wa mwaka mmoja..

Comments are closed.