Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, Simon Berege na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Mibako Mabubu wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wamepanda kugonga ng’ombe usiku wa kuamkia leo katika eneo la Shelui, mteremko wa Mlima Sakenke mkoani Singida.
Comments are closed.