The House of Favourite Newspapers

MMBATIA: Magufuli Amekubali Kuzungumza na Chadema, Sisi ni Wamoja – Video

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jumanne, Novemba 13, 2018.

Mbali na Mbatia, Magufuli pia amezungumza na Mwanasiasa Mkongwe wa Chama cha UDP, Mzee John Cheyo.

 

Akizungumza baada ya kuonana na Rais Magufuli, Mbatia amesema Rais amekubali kukutana na kuzungumza na vyama vyote vya siasa iwe Chadema au NCCR Mageuzi, kwani wote ni ni Watanzania bila ya kujali tofauti za kisiasa.

Comments are closed.