The House of Favourite Newspapers

Mnada Mkubwa wa Vifaa vya Ujenzi Kutikisa Dar – Video

0

KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED kwa idhini tuliyoopewa, tunawatangazia mnada wa hadhara utakaofanyika Jumapili, Mei 16, 2021 kuanzia saa 4 asubuhi.

 

Bidhaa zitakazouzwa ni kitchen sink-matt, kitchen sink polish, endura basin mixer, jazz shower, toilet sits, washind basin na flush tank.

 

Ukaguzi wa bidhaa hizi utafanyika siku za kazi (week days) kuanzia Jumatatu, Mei 10 hadi Ijumaa, Mei 14 kuanzia saa 3:00 asubuhi – 10:00 jioni katika Godown lililopo eneo la Keko madawa karibu na Bohari ya Madawa (MSD) na ndipo hapo hapo mnada utakapofanyikia.

 

MASHARITI YA MNADA
1. Mnunuzi atakayebahatika kununua mali hizo atalazimika kulipa papo hapo asilimia 25 ya bei itakatokuwa imefikiwa, na asilimia 75 nyingine atalipa ndani ya siku saba kuanzia siku ya mnada na akishindwa kulipa mnada utarusidiwa na pesa aliyolipa awali haitarudiswha.
2. Mnunuzi atalazimika kuondosha bidhaa aliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote taslimu.
3. Gharama zote za kutoa bidhaa alizonunua ni za mteja mwenyewe.
4. Bidhaa itauzwa kama ilivyo na ukiharibu haitarudishwa
5. Kwa yeyote atakayeharibu mnada hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Kwa mawasiliano zaidi, fika katika ofisi zetu zilizopo RITA Tower, Ghorofa ya 11, Posta jijini Dar es Salaaam au piga simu namba 0715 683 777 au 0716 535 221 au 0717 593 890 au 0712 670 704.

Nyote mnakaribiahwa!

 

Leave A Reply