The House of Favourite Newspapers

MOLINGA Afunguka USIYOYAJUA Kuhusu YANGA – Video

0


GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na msakata kabumbu, David Molinga, ambaye alikuwa akiichezea klabu ya Yanga na kufanikiwa kuwa kinara wa magoli wa klabu hiyo katika msimu uliopita wa ligi kuu Tanzania bara.

 

Molinga ambaye ni raia wa Congo, ambaye usajili wake Yanga ulizua gumzo kuanzia siku ya kwanza mpaka anamaliza msimu, amefunguka maisha yake ndani ya Yanga.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply