The House of Favourite Newspapers

Monalisa Abambwa Akiuza Duka Magomeni

Msanii wa fiilamu za Bongo Muvi, Yvonney Cherry ‘ Monalisa’ akiendelea na kazi ya kuuza duka.

 

Msanii wa fiilamu za Bongo Muvi, Yvonney Cherry ‘ Monalisa’ amebambwa maeneo ya Magomeni Usalama  jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya duka Bannat World akiwahudumia wateja kama kawaida.

…Akiweka mambo sawa.

Akizungumza na mwandishi wetu, Mona alisema kuwa yupo dukani hapo kwaajili yeye ni balozi wa duka hilo na mara nyingi mwisho wa mwezi wanafanya punguzo la bei hivyo nakuwepo dukani hapo kwaajili ya kuwahudumia wateja wanaokuja hapo.

” Niko hapo nawahudumia wateja kama balozi wa Bannat World na mara mwisho wa mwezi nakuwepo hapa nawahudumia wateja” alisema Monalisa

PICHA NA IMELDA MTEMA | GPL

Comments are closed.