The House of Favourite Newspapers

Monalisa Humwambii Kitu Kwa Ben Pol

0

MSANII wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ amesema kuwa msanii wa muziki anayemkubali zaidi ni Bernard Paul ‘Ben Pol’ kutokana na nidhamu aliyonayo.

Akipiga stori mbili tatu na Mikito Nusunusu, mwanamama huyo asiyechuja kwenye gemu alisema kuwa, anampenda msanii huyo kwa sababu ni mtu anayejituma na hana mambo mengi kama ilivyo kwa wengine.

“Ben Pol ni mmoja kati ya wasanii ambaye nampenda sana kwa sababu ni kijana mwenye nidhamu, mpole, mtafutaji, anajituma lakini zaidi ya yote ni msanii aliyejaaliwa kipaji sana,” alisema Monalisa.

STORI: MEMORISE RICHARD

Leave A Reply