The House of Favourite Newspapers

Mondi, kiba, Harmo Kukutana Live Steji Moja – Video

0

KATIBU Mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Dkt Hassan Abbas, amezungumza na wanahabari akiwa na baadhi ya wasanii kuelekea kwenye tamasha la Serengeti litakalofanyika Desemba 26, katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply